Tunaamini katika Mungu Baba na Mungu Mama na tunafuata agano jipya kadili ya muongozo wa Biblia. Tunatoa upendo wa Mungu na furaha ya milele kwa waumini wa familia yetu duniani kote katika nchi 175. Tunafuata mafundisho ya Mungu Mama aliyetuonyesha mfano wa kutumikia wengine na kuibadilisha dunia iwe mahali pazuri.

Bellville, Cape Town, Afrika Kusini
Bellville, Cape Town, Afrika Kusini
Pretoria, Afrika Kusini
Pretoria, Afrika Kusini
Play video

Utangulizi Video

Zaidi ya makanisa 7,000 kwenye nchi 175 yanasambaza upendo wa Mama dunia nzima.

Tuzo ya Rais wa Marekani kwa huduma za kujitolea

Tuzo ya Rais wa Marekani kwa huduma za kujitolea

Mafanikio ya Maisha (Juni 2011) | Dhahabu (Juni 2011)
Dhahabu (Nov. 2014) | Dhahabu (Juni 2015) | Dhahabu (Sep. 2015)
Dhahabu (Des. 2015) | Shaba (Julai 2017)

Tuzo ya kifahari zaidi kwa huduma za kujitolea nchini Marekani
Dhahadu (heshima ya juu zaidi kwa kikundi, mara tano)
Mafanikio ya Maisha (heshima ya juu zaidi kwa mtu binafsi)

Tuzo za Rais kutoka kwa Serikali Tatu za Korea

Tuzo za Rais kutoka kwa Serikali Tatu za Korea

Nukuu ya Kikundi ngazi ya Rais (Mei 2015)
Medali ya Sifa (Agosti 2004)
Nukuu ya Rais (Feb. 2003)

Nukuu ya Kikundi Ngazi ya Rais ya Korea ni tuzo yenye heshima zaidi kwa kikundi kilichotoa huduma nzuri kwenye nyanja flani kwa zaidi ya miaka mitano; inatolewa baada ya uchunguzi na ukaguzi wa kina. Ni jambo la kustaajabisha kwa kikundi cha kidini kupokea tuzo hii.

Mualiko wa UN CERF Mkutano wa Hali ya Juu Ni mara ya kwanza kwa Kanisa

Mualiko wa UN CERF Mkutano wa Hali ya Juu Ni mara ya kwanza kwa Kanisa

'Kanisa la Mungu limekuwa likiguswa na jitihada za kutoa misaada duniani kote kupitia kusafisha mazingira, misaada ya chakula na timu za kusaidia kwenye maafa yanayojitokeza. Chimbuko la hizi shughuli zote za kibinadamu za Kanisa la Mungu ni moyo wa Mama.'
- Hotuba ya Pastor Mkuu wa Kanisa la Mungu Kim Joo-cheol Katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa, New York, Marekani. (Des. 13, 2016)

Tuzo kubwa zimepokeaAfrika

Huduma zetu za kujitolea kwa dhati na matukio katika nchi za Afrika zilizolenga kukuza kujali mazingira na kuhamasisha uchangiaji damu zimetambuliwa na ofisi za kiserikali kupitia medali, nukuu, tuzo na vyeti.

Cheti cha Tuzo kutoka Shirika la Huduma za Utiaji-damu la WP jijini Cape Town, Afrika Kusini

Cheti cha Tuzo kutoka Shirika la Huduma za Utiaji-damu la WP jijini Cape Town, Afrika Kusini

Cheti kutoka kwa Mkurugenzi wa Taasisi ya Damu ya Taifa la Angola Wizara ya Afya

Cheti kutoka kwa Mkurugenzi wa Taasisi ya Damu ya Taifa la Angola Wizara ya Afya

Barua ya Shukrani kutoka kwa Naibu Meya wa Cotonou, Benin

Barua ya Shukrani kutoka kwa Naibu Meya wa Cotonou, Benin

Barua ya Shukrani kutoka kwa Wizara ya Maji na Umwagiliaji ya Kenya

Barua ya Shukrani kutoka kwa Wizara ya Maji na Umwagiliaji ya Kenya

Huduma za kujitolea katika Afrika

Makanisa ya Mungu katika nchi za Afrika kama Afrika Kusini, Zimbabwe, Msumbiji, Namibia, Botswana, Tanzania, Angola, Uganda, DR Congo, Zambia, Malawi, Ghana, Benin, Cameroon na Ethiopia yanafanya shughuli mbalimbali ili Waafrika wote wawe na furaha.

Usafishaji mjini Westlake Estate, Cape Town, Afrika Kusini

Usafishaji mjini Westlake Estate, Cape Town, Afrika Kusini

Usafishaji huko Mwenge jijini Dar es Salaam, Tanzania

Usafishaji huko Mwenge jijini Dar es Salaam, Tanzania

Uchangiaji damu jijini Dar es Salaam, Tanzania

Uchangiaji damu jijini Dar es Salaam, Tanzania

Usafishaji huko Dansoman St. jijini Accra, Ghana

Usafishaji huko Dansoman St. jijini Accra, Ghana

Usafishaji chuo cha Eduardo Mondlane jijini Maputo, Msumbiji

Usafishaji chuo cha Eduardo Mondlane jijini Maputo, Msumbiji

Tamasha la kitamaduni katika kituo cha watoto yatima jijini Gaborone, Botswana

Tamasha la kitamaduni katika kituo cha watoto yatima jijini Gaborone, Botswana

Tovuti ya familia

Top